Home LOCAL RAIS MWINYI AZINDUA RASMI MAABARA ZA TAASISI YA SHIRIKA LA VIWANGO ZANZIBAR...

RAIS MWINYI AZINDUA RASMI MAABARA ZA TAASISI YA SHIRIKA LA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa Maabara nne mpya za (ZBS), uliofanyika Machi 15, 2023 huko Maruhubi nje kidogo ya mjii wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa na viongozi wengine wa serikali, akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa maabara za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) uliofanyika Machi 15, 2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia), akifungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa maabara nne mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), uliofanyika Machi 15, 2023.

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) (ZBS), Yussuph Majid Nassor (kulia), akitoa maelelezo kuhusu mja ya maabara nne zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokua akizikagua maabara hizo kabla ya kuzizindua. Kushoto ni mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto), akipokea zawadi maalumu ya kutambua mchango wake katika masuala ya viwango toka kwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaaban, wakati wa hafla ya uzinduzi wa maabara za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) uliofanyika Machi 15, 2023.

Previous articleTWIGA MINERALS NA BARRICK WADHAMINI MKUTANO WA JUKWAA LA PILI LA UTEKELEZAJI WA USHIRIKISHWAJI WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI
Next articleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA TEKNOLOJIA YA MAWE KATIKA UJENZI WA BARABARA NGORONGORO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here