Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akitenda jambo na Msaidizi wake, Bw. Seif Kamtunda.
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akimsikiliza Waziri wa Zambia wakati waliposhiriki hafla ya ufunguzi ya Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) |
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde akiongea na mmoja wa Mawaziri walioshiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri
|
Waheshimiwa Mawaziri wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Ukumbi uliofanyika Mkutano wa Baraza la Mawaziri |