Home BUSINESS FURSA CREDIT SERVICES YAPELEKA ELIMU KWA WANANCHI

FURSA CREDIT SERVICES YAPELEKA ELIMU KWA WANANCHI

MKURUGENZI wa Kampuni ya Fursa Credit Services (aliyesimama nyuma) akifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na  Meneja maendeleo ya Biashara wa Kampuni hiyo Salma Ngalla (wa kwanza kulia) kwa wananchi waliotembelea Banda lao kufahamu shughuli wanazozifanya katika maonesho ya Wanawake yaliyoandaliwa na Chama cha Wanawake Tanzania (TWCC) yanayofanyika kwa siku tatu kuanzia Machi 9 hadi 11, 2023  Katika Viwanja vya Mlimani city Jijini Dar es Salaam.

FURSA CREDIT ni Kampuni ya Kizalendo iliyoanzishwa kwa lengo la kufanya Biashara katika Sekta ya Mali isito Hamishika (Real Estate) yenye makazi yake Jijini Dar es Salaam.

Wananchi waliotembelea Banda la Fursa Credit Services (kushoto) wakifuatilia maelezo kutoka kwa Meneja maendeleo ya Biashara wa Kampuni hiyo Salma Ngalla (kulia) waliotembelea Banda la Taasisi hiyo.

Meneja maendeleo ya Biashara wa Kampuni Fursa Credit Services Salma Ngalla ( wa tatu kulia) akiwa pamoja na Baadhi ya maofisa wa Kampuni hiyo wakiwa na wageni wao waliotembelea Banda la Taasisi hiyo kwenye maonesho ya Wanawake yaliyoandaliwa na TWCC Mlimani city Dar es Salaam.

MKURUGENZI wa Kampuni ya FURSA CREDIT (aliyesimama nyuma) akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya watumishi wa Kampuni hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here