Home LOCAL DKT. TAX AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA

DKT. TAX AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini, Mhe. David Concar katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine, viongozi hao wamejadili namna ya kuboresha uhusiano baina ya Uingereza na Tanzania na jinsi ya kufanya kazi kwa pamoja katika kudumisha na kuendeleza uhusiano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here