Home LOCAL DKT. MPANGO AKABIDHI TUZO YA UTENDAJI WA MAMLAKA ZA MAJI

DKT. MPANGO AKABIDHI TUZO YA UTENDAJI WA MAMLAKA ZA MAJI

Makamu wa Rais Mhe. Dkt Philip Mpango (wa pili kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (wa pili kulia) tuzo ya ushindi kwa Mamlaka iliyofanya vizuri katika uwasilishaji wa tozo ya udhibiti (EWURA Levy). Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprica Mahundi (Mb) wa kwanza kushoto.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here