Home Uncategorized DC ILALA AIPONGEZA TWCC

DC ILALA AIPONGEZA TWCC

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogoro (kulia) akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Banda la Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) kwenye maonesho ya Vikundi vilivyopata mikopo kupitia mfuko wa kuwaendeleza Wanawake, Vijana na watu wenye Ulemavu yanayofanyika kwa siku mbili Machi 7 hadi 8, 2023 katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam. (Kushoto) ni Afisa Miradi wa (TWCC) Elizabeth Kyssima.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo (katikati) akizungumza na wajasiriamali wa TWCC hawapo (pichani) alipokuwa katika Banda la Taasisi hiyo (kushoto), ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto.

Baadhi ya wajasiriamali wa TWCC wakiwa wameshika bidhaa zao katika maonesho hayo.

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here