
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mafuta cha Singida Fesh Oil Mill Ndugu Abdallah Ally juu ya uzalishaji wa mafuta ya alizeti kilichopo Singida mjini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Sokoine Dkt. Asha Byantungama (kulia) juu ya ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto.