Home LOCAL ACT YAENDELEA KUVUNA WANACHAMA WA CUF

ACT YAENDELEA KUVUNA WANACHAMA WA CUF

Wananchi wakiwa wameketi kwenye mkutano wa hadhara wa ACT Wazalendo eneo la Kibirinzi Pemba leo Machi 4, 2023.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho eneo la Tibirinzi Pemba leo Machi 4, 2023.

Makamu Mwenyekiti chama cha ACT Wazalendo Bara, Doroth Semu akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho eneo la Tibirinzi Pemba leo Machi 4, 2023.

Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman akihutubia wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Tibirizi Pemba leo Machi 4, 2023.

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu akihutubia katika Mkutano huo uliofanyika leo Machi 4,2023 katika viwanja vya Tibirinzi Pemba.

Chama cha ACT Wazalendo, kwenye Mkutano wake Kisiwani Pemba uliofanyika katika viwanja vya Tibirinzi leo tarehe 04 Machi, 2023 kimewapokea wanachama 305 wa Chama Cha Wananchi (CUF), 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na 1 kutoka Chadema.

Wanachama wa CUF wakiongozwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Ndugu Abbas Juma Muhunzi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here