Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA ASHIRKI MKUTANO WA 36 WA UMOJA WA AFRIKA (AU),ADDIS ABABA...

RAIS SAMIA ASHIRKI MKUTANO WA 36 WA UMOJA WA AFRIKA (AU),ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika wakati wakishiriki Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe18 Februari, 2023.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here