Home BUSINESS BRELA YATOA MADA KWA WADAU KUHUSU HUDUMA ZAKE

BRELA YATOA MADA KWA WADAU KUHUSU HUDUMA ZAKE

Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Lumambo Shiwala akitoa mada kuhusu huduma zinazotolewa na Taasisi tarehe 23 Februari, 2023 katika Breakfast Meeting iliyoandaliwa na Taasisi inayotoa huduma za Msimbomlia- GS1 Tanzania kwenye ukumbi wa Kisenga-LAPF Makumbusho, jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here