Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU AFUNGUA SKULI YA MSINGI YA MWANAKWEREKWE ILIYOJENGWA NA SERIKALI...

RAIS SAMIA SULUHU AFUNGUA SKULI YA MSINGI YA MWANAKWEREKWE ILIYOJENGWA NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KWA FEDHA ZA UVIKO 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Maabara ya Kisasa mara baada ya kufungua Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia umahiri wa Wanafunzi wa somo la Kompyuta katika Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe mara baada ya kuifungua kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Darasa la Saba wa Skuli ya Mwanakwerekwe wakati akikagua Madarasa ya Skuli hiyo mara baada ya Sherehe za ufunguzi zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe mara baada ya kuifungua kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023. 

Previous articleWANANCHI WAPATE ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE – PROF. MAKUBI
Next articleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA KITUO CHA AFYA KENDWA PEMBA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here