Home BUSINESS RAIS SAMIA ATENGUA NAFASI ZA VIONGOZI

RAIS SAMIA ATENGUA NAFASI ZA VIONGOZI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za Viongozi wafuatao:-

  1. Bw. Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali;

2.Bw. Msongela Nitu Palela, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Mara;

3.Bw. Michael Augustino Matomora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Singida;

4.Bw. Linno Pius Mwageni, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Shinyanga; 

5.Bw. Sunday Deogratius Ndori, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Njombe.

Utenguzi huu ulianza tarehe 22 Januari, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu