Home LOCAL RAIS SAMIA AHUDHURIA UFUNGUZI MKUTANO WA MWAKA WA JUKWAA LA UCHUMI DUNIANI,...

RAIS SAMIA AHUDHURIA UFUNGUZI MKUTANO WA MWAKA WA JUKWAA LA UCHUMI DUNIANI, DAVOS, USWIS

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Washiriki pamoja na viongozi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Washiriki wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here