Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA WAJUMBE TUME YA KUBORESHA TAASISI ZA HAKI...

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA WAJUMBE TUME YA KUBORESHA TAASISI ZA HAKI JINAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Yohana Sefue kama ifuatavyo:-

  • Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali;
  • Laurean Philomena Ndumbaro, Katibu Mkuu, UTUMISHI;
  • Said Ally Mwema, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu;
  • Balozi Ernest Jumbe Mangu, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu;
  • Edward Gamaya Hoseah, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika;
  • Saada Ibrahim Makungu, Askari Polisi Mstaafu;
  • Omar Issa, Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO;
  • Baraka Leonard, Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais; na
  • Yahya Khamis Hamad, Mkurugenzi wa Utafiti katika Chuo Kikuu cha Zanzibar na Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Previous articleWAZIRI AWESO AAGIZA KUPANGIWA KAZI NYINGINE MENEJA WA RUWASA WILAYA YA  KILOSA
Next articleWAZIRI SIMBACHAWENE AHIMIZA MAPAMBANO DHIGI YA UDHALILISHAJI WA WATOTO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here