Home LOCAL  RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI MBALIMBALI IKULU...

 RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) linaloshughulikia kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, Chip Lyons Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) linaloshughulikia kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, Chip Lyons pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF) Chip Lyons pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Remy Ngoy Lumbu pamoja na Mratibu wa Kimataifa wa Mtandao wa Watetezi wa haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Remy Ngoy Lumbu pamoja na Mratibu wa Kimataifa wa Mtandao wa Watetezi wa haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa mara baada ya mazungumzo  Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Previous articleNAIBU WAZIRI MASANJA ALAANI VITENDO VYA UHARIBIFU WA MAZINGIRA KATIKA SHAMBA LA MITI BUHINDI
Next articleSERIKALI YATOA SHILINGI BILIONI 1.4 KUJENGA SHULE TATU ZA SEKONDARI WILAYANI TUNDURU,WAZAZI WAIPONGEZA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here