Home BUSINESS RAID YAKUBALI MWALIKO WA MUDA MREFU WA KUTEMBELEA MGODI WA NORTH MARA

RAID YAKUBALI MWALIKO WA MUDA MREFU WA KUTEMBELEA MGODI WA NORTH MARA

Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umethibitisha kwamba shirika lisilo la kiserikali la nchini Uingereza linalojishughulisha na masuala ya Haki na Binadamu na uwajibikaji katika kuleta Maendeleo (RAID), limekubali mwaliko  wa muda mrefu wa kutembelea Mgodi huo katika wiki inayoanza tarehe 30 Januari 2023.

Lengo kubwa la ziara hiyo ya kutembelea Mgodi itakuwa ni kuionyesha

RAID miradi mingi ambayo North Mara imetekeleza kuboresha maisha ya jamii zinazotuzunguka mgodi, kuwaelewesha mazingira ya uendeshaji wa  shughuli za mgodi wa North Mara na kukutana na wadau wakuu katika kanda hiyo.

North Mara na RAID pia zitajadili masuala
ambayo  RAID itayabainisha na kutoa mapendekezo kwa vitendo.

Mgodi wa Dhahabu wa North Mara na wadau wengine wanatarajia kuwa mwenyeji  wa timu ya Watendaji wa RAID wakati wa ziara hiyo.

RAID accepts longstanding invitation to visit North Mara

Tanzania, 7 January 2023  –

North Mara Gold Mine can confirm that
the UK-based organisation, Rights and Accountability in Development (RAID) has
accepted our longstanding invitation to visit the mine during the week commencing 30 January 2023.

The intention of the site visit will be to show RAID the numerous initiatives North Mara has implemented to improve the lives and livelihoods of our surrounding communities, gain contextual understanding of the operating environment at North Mara and meet with key stakeholders in the region. North Mara and RAID will also discuss RAID’s findings and methodology and pursue practical recommendations.

North Mara Gold Mine and other stakeholders look forward to hosting and engaging with the RAID team during the visit.

Barrick Enquiries

Corporate communications
and
country liaison manager

Georgia
Mutagahywa

+255 754 711 215

Email: georgia.mutagahywa@barrick.com

Investor and media relations

Kathy
du Plessis

+44
20 7557 7738

Email:
barrick@dpapr.com

Website: www.barrick.com

 

 

Previous articleSHULE ZA KATA 184, ZA WASICHANA 5 KUJENGWA KABLA YA JUNI 2023-DK. MSONDE
Next articleCCM SHINYANGA : HATUNA PRESHA , TUMEJIANDAA KWA MIKUTANO YA HADHARA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here