![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/01/Form-four-results-2022.webp)
NECTA leo January 29,2023 imetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata kuanzia daraja la kwanza hadi daraja la nne.
>>>>>>>>BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE<<<<<<<<<