Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA...

NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA NGORONGORO.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) ameongoza kikao kazi cha watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taarifa ya utendaji kazi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kipindi cha mwezi Januari 2021 hadi 2022 leo Januari 16,2023 jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here