Home KIDSNEWS MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KOMRED ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KOMRED ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NA INDONESIA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM LEO JANUARI 16, 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania ambao ni Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera na Balozi Mteule wa Indonesia, Triyogo Jatmiko. Katika mazungumzo yao wamesisitiza kuimarisha uhusiano wa kidugu na kufungua fursa mbalimbali. 
(Picha zote na Fahad Siraj wa CCM).
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya Pamoja na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akifurahi na kushikana mikono  na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana  na  Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mheshimiwa Triyogo Jatmiko alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.
Previous articleNAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA NGORONGORO.
Next articleWAJAWAZITO 309 NA WATOTO WACHANGA 1,200 WAMEPOTEZA MAISHA MWAKA 2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here