Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KISIWANI PEMBA JAN 9

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KISIWANI PEMBA JAN 9

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo tarehe 09 Januari 2023. Makamu wa Rais amewasili Kisiwani Pemba kuongoza shughuli za ufunguzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Previous articleRAIS DKT. SAMIA AMUAPISHA KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO DKT. NATU EL-MAAMRY MWAMBA NA GRIFFIN VENANCE MWAKABEJE, IKULU CHAMWINO DODOMA
Next article“JUKUMU LA KUTOA ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE NI LETU SOTE “, PROF. MAKUBI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here