Home LOCAL KINANA ATETA NA ALIYEKUWA MCHUMI MKUUWA DFID,PROF DERCON, OFISI NDOGO YA MAKAO...

KINANA ATETA NA ALIYEKUWA MCHUMI MKUUWA DFID,PROF DERCON, OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na, Prof. Stefan Dercon, Aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza alieambatana na Balozi Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  19, 2023. (picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu)

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Prof. Stefan Dercon, Aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza alieambatana na Balozi Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  19, 2023. (picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na, Prof. Stefan Dercon, Aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza alieambatana na Balozi Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  19, 2023. (picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu