Home LOCAL CFR WAASWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE YA MSINGI

CFR WAASWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE YA MSINGI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akiongea na watumishi wa Chuo cha Diplomasia (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam 
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Diplomasia, Balozi Ramadhani Muhongwa Mwinyi akizungumza  na watumishi wa Chuo cha Diplomasia (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam 
Kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax na watumishi wa Chuo cha Diplomasia kikiendelea Jijini Dar es Salaam 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akikabidhi vitabu kwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Diplomasia, Balozi Ramadhani Muhongwa Mwinyi na Kaimu Mkuu wa CFR, Dkt. Felix Wandwe
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akikagua mradi wa ujezi wa madarasa ya kufundishia katika Chuo cha Diplomasia Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Chuo cha Diplomasia Jijini Dar es Salaam
Previous articleSERIKALI YAANZISHA MFUMO WA KITAIFA WA KANZIDATA YA TAFITI ZA AFYA.
Next articleSERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA UPANDIKIZAJI WA MIMBA KUPITIA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here