Home LOCAL ALIYEKUWA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKABIDHI OFISI

ALIYEKUWA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKABIDHI OFISI




Picha zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka Jana Tarehe 21 Januari, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lumumba, Dar es Salaam.#CCMImara #UongoziImara #KaziIendelee

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here