Home LOCAL MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM...

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU TAIFA

   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here