Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
“Nipende kumshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa msukumo wake wa kuridhia kiasi cha zaidi ya bilioni 70 kukamilisha mradi huu utakaonufaisha wakazi wa Goba, Tegeta, Wazo, Bunju, Mabwepande na Mapinga,” Mhe Amosi Makalla