Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE MKUTANO WA AGRA JIJINI WASHINGTON...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE MKUTANO WA AGRA JIJINI WASHINGTON MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya Kilimo katika Mkutano wa AGRA uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani

Viongozi mbalimbali pamoja na Wadau walioshiriki kwenye Mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn ambaye ni Mwenyekiti wa Mfuko wa AGRF pamoja na wadau mbalimbali mara baada ya mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here