Home LOCAL RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA NA MAREKANI KWENYE MKUTANO...

RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA NA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA MASUALA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani (U.S Afirica Leaders Summit) wakati wakijadili masuala ya Kilimo, Usalama wa Chakula na Uzalishaji wa Chakula, uliofanyika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani  Mhe. Joe Biden pamoja na Viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika na Marekani kabla ya kuanza kwa ufungaji wa mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani