Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI JIJINI WASHNGTON

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara wa Marekani kuhusiana na Sekta ya Uwekezaji nchini Tanzania katika Mkutano uliofanyika Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mtendaji na Mkuu wa Mambo ya Kimataifa wa Chemba ya Biashara ya Marekani Myron Brilliant (wa pili kutoka kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Marekani Dkt. Elsie Kanza (wa kwanza kushoto) kabla ya kuanza Mkutano wa Uwekezaji na Wafanyabiashara Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo kabla ya mazungumzo yao Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu wa Biashara Gina Raimondo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu wa Kilimo wa Marekani Thomas Vilsack Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Kilimo wa Marekani Thomas Vilsack pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo, Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Previous articleWIZARA YA ELIMU YAZUNGUMZIA UMUHIMU UCHANGIAJI CHAKULA SHULENI, WFP, WADAU WAUJADILI MUONGOZO
Next articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO DISEMBA 14-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here