Home LOCAL RAIS DKT.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WA AFRIKA ULIOFANYIKA...

RAIS DKT.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WA AFRIKA ULIOFANYIKA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuchangia mada mbalimbali katika Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar 

        Viongozi mbalimbali pamoja na washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa Golden Tulip Zanzibar kushiriki na kuchangia mada mbalimbali kwa viongozi hao Wanawake wa Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde pamoja na viongozi mbalimbali Wastaafu wa Afrika kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika uliofanyika Zanzibar tarehe 03 Desemba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here