Home Uncategorized MFANYABIASHARA AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA GARI

MFANYABIASHARA AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA GARI

Mwili wa mtuu mmoja ajulikanaye kwa jina la mkusini mfanyabiashara wa bucha umekutwa kwenye gari yake katika eneo la UWANJA WA fisi maduka 9 mkolani mwanza akiwa amefariki huku ikisadikika kunyongwa na kamba ambayo ilikutwa ndani ya gari hiyo.

kamanda wa polisi mkoani Mwanza Wlbroad Mutafungwa amekiri kutokea kwa tukio Hilo huku akisema bhado uchunguzi Unaendelea kufanyika ili kubaini CHANZO cha tukio Hilo ni nini

Wakizungumza katika tukio Hilo la MAUAJI baadhi ya MASHUHUDA wa tukio Hilo wamesema majira ya saa mbili asubuhi wamelikuta gari Hilo likiwa kandokando mwa barabara huku mwili huo ukiwa ndani ya gari huku Kila mmoja akitoa maoni yake juu ya tukio Hilo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here