Home ENTERTAINMENTS WAZIRI NAPE NNAUYE AONGOZA TAMASHA LA KUMUOMBEA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN CCM...

WAZIRI NAPE NNAUYE AONGOZA TAMASHA LA KUMUOMBEA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akipokelewa na Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa tamasha la kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan wakati alipomwakilisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumapili Novemba 6,2022 ambapo waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili wametumbuiza huku maaskofu na wachungaji mbalimbali wakifanya maombi kumuombea Rais na taifa kwa ujumla. 

(NA JOHN BUKUKU-MWANZA)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akiteta jambo mara baada ya kupokelewa na Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion alipowasili kwenye tamasha la kumuombea Rais kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akisalimiana na viongozi mbalimbali wa dini wakati alipowasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ili kushiriki katika tamasha hilo kama mgeni rasmi.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Ambwene Mwasongwe akitumbuiza Katika Tamasha la kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mgeni rasmi Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye  amewakilishwa na Waziri wa Habarii, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye.

Wananci mbalimbali wakiwa katika tamasha hilo.

Mwimbaji Akilimali Tumaini kutoka nchini Kenya akitumbuiza katika tamasha hilo.

Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion akimpongeza Mwimbaji Akilimali Tumaini kutoka nchini Kenya mara baada ya kutumbuiza katika tamasha hilo

Mwimbaji Joshua Ngoma kutoka nchini Rwanda akitumbuiza katika tamasha la Kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumapili Novemba 6,2022.

Waimbaji wa kwaya ya Zablon Singers wakitumbuiza Katika Tamasha la kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan linalofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mgeni rasmi Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amewakilishwa na Waziri wa Habarii, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye

Waimbaji wa kwaya ya Zablon Singers wakitumbuiza Katika Tamasha la kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan linalofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mgeni rasmi Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amewakiliswa na Waziri wa Habarii, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye

Mwambaji nguli wa muziki wa Injili nchini Tanzania Eose Muhando akifanya yake katika tamasha hilo.

Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion akicheza pamoja na MC Mwakipesile na na baadhi ya waimbaji katika tamasha hilo.

Mwambaji nguli wa muziki wa Injili nchini Tanzania Eose Muhando akifanya yake katika tamasha hilo.

Baadhi ya viongozi wa dini wakijiandaa kufanya maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha hilo.

Waziri wa Habarii, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akishiriki katika tukio la Maaskofu kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan wakati mmoja wa maaskofu hao kutoka makanisa ya Mwanza Askofu Charles Sekelwa akifanya maombi wakati wa Tamasha la kumuombea lililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Waziri wa Habarii, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akishiriki katika tukio la Maaskofu kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan wakati mmoja wa maaskofu hao kutoka makanisa ya Mwanza Askofu Charles Sekelwa akifanya maombi wakati wa Tamasha la kumuombea lililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Waziri wa Habarii, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akizungumza na kutoa salamu zake mara baada ya kufanyika kwa maombi ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here