Home BUSINESS WANACHI WAMIMINIKA KWENYE BANDA LA BoT WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA JIJINI...

WANACHI WAMIMINIKA KWENYE BANDA LA BoT WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA JIJINI MWANZA

Meneja wa Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Bi. Victoria Msina (kulia) akizungumza na kiongozi wa kikundi cha kinamama wanaojihusisha na uchimbaji Madini kutoka Mkoani Geita walipotembelea Banda la Benki hiyo kupata elimu na kujifunza namna ambavyo Benki hiyo inatekeleza majukumu yake kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Jijini Mwanza.

Meneja wa Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Bi. Victoria Msina (kushoto) akimkabidhi zawadi kwa kiongozi wa kikundi cha wakinamama kutoka Mkoani Geita katika Banda la Benki hiyo Jijini Mwanza.

Meneja wa Uhusiano wa (BoT) Bi. Victoria Msina akikabidhi Vipeperushi kwa wakinamama hao.

Meneja wa Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Bi. Victoria Msina (kushoto) akimsikiliza Moja ya mwananchi kutoka Mkoani Geita walipotembelea kwenye Banda la Taasisi hiyo kupata elimu.

Afisa mwandamizi wa BoT Gideon Rwegishora (wa kwanza kulia) akizungumza na wakinamama wanaojishughulisha na uchimbaji madini Mkoani Geita walipotembelea kwenye Banda la Benki hiyo katika Maonesho ya Taasisi za Fedha Jijini Mwanza.

Afisa Sheri wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Happy Mlwale (kulia) akitoa elimu kwa mwananchi aliyetembelea kwenye Banda la Benki hiyo kujifunza na kufahamu shughuli mbalimbali za Benki hiyo.

Meneja msaidizi wa uhusiano kwa umma kutoka Idara ya Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Noves mosses akimkabidi zawadi Kamishna msaidizi Idara ya uendelezaji wa Sekta ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Dianisia Mjema (kushoto) alipotembelea katika Banda la Benki hiyo kwenye maonesho hayo.

Afisa Uhusiano kwa Umma wa BoT Graciana Mahega (kulia) akizungumza na mwananchi aliyetembelea Banda la Taasisi hiyo kupata elimu na kufahamu shughuli mbalimbali wanazofanya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here