Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ETHIOPIA MHE. HALLEMARIAM DESALEGN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here