Home LOCAL MGAO WA MAJI DAR, PWANI WASITISHWA RASMI

MGAO WA MAJI DAR, PWANI WASITISHWA RASMI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amosi Makala akitoa tamko la kusitishwa kwa zoezi la mgao wa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani baada ya kufanya ziara katika chanzo cha kuzalisha maji cha Ruvu Chini na kuridhishwa na hali ya ongezeko la maji.

Wa pili kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja, na kushoto, ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here