Home BUSINESS KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA ATEMBELEA BANDA LA BoT KWENYE MAADHIMISHO YA...

KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA ATEMBELEA BANDA LA BoT KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana, ametembelea banda la BoT katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha yanayofanyika katika Viwanja vya Rockcity Mall – Mwanza. Katika maadhimisho haya BoT inatoa elimu ya fedha kwa umma pamoja na majukumu mbalimbali ya BoT.

Ameambatana na Meneja Msaidizi Idara ya Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania, Bi. Noves Moses.
Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMANNE NOVEMBA 22-2022
Next articleMWENYEKITI WA WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIASULUHU HASSAN  AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU CCM, IKULU CHAMWINO DODOMA                                        
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here