Home LOCAL DKT. SUBI AKUTANA NA BODI YA KeNUP FOUNDATION

DKT. SUBI AKUTANA NA BODI YA KeNUP FOUNDATION

Siha

Mkurugenzi wa Hospitali Maalum ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto Dkt. Leonard Subi amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugezi ya Taasisi ya KeNUP Foundation toka Jumuiya ya Ulaya Bw. Holm Keller na kufanya mazungumzo ya kuanzisha ushirikiano katika mapambano dhidi ya magonjwa Ambukizi katika nyanja za kinga na tiba ikiwemo kutengeneza chanjo na dawa za Kifua Kikuu na UKIMWI.

Aidha, wamejadiliana kuhusu utafiti wa majaribio ya kisayansi kupewa kipaumbele katika uvumbuzi wa matibabu sahihi na chanjo dhidi ya magonjwa ya kuambukiza

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here