 |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi wakati wa mkutano uliofanyika Zanzibar |
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
 |
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akiwasilisha salamu za Wizara kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa Mkutano wa mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi |
 |
| Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wizara wakati wa mkutano kati ya Mhe. Rais Hussein Ali Mwinyi na Mabalozi |
 |
| Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab akitoa neno la utangulizi wakati wa mkutano kati ya Mhe. Rais Hussein Ali Mwinyi na Mabalozi |
 |
| Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mindi Kasiga akizungumza kama mshereheshaji wakati wa mkutano kati ya Mhe. Rais Hussein Ali Mwinyi na Mabalozi |
 |
| Sehemu ya Mabalozi wakifuatilia mkutano kati yao na Mhe. Rais Hussein Ali Mwinyi |
 |
| Sehemu ya Mabalozi wakifuatilia mkutano kati yao na Mhe. Rais Hussein Ali Mwinyi |
 |
| Meza Kuu ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika picha ya pamoja Uongozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
|
 |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya mkutano |