Home NEWSPAPERS DAWASA YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA KUPITIA VISIMA VIREFU

DAWASA YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA KUPITIA VISIMA VIREFU

Kazi ya kuboresha kisima cha maji eneo la Mwananyamala Komakoma, wilaya ya Kinondoni chenye urefu wa mita 39 imeanza ili kiweze kuingia maji kwenye mfumo wa usambazaji wa DAWASA kwa lengo la kuongeza upatikanaji kwa wakazi wa Mwananyamala A, Kisiwani, Komakoma, Mahakamani, Minazini.

Kisima kina uwezo wa kuzalisha maji lita 100,000 kwa saa ni miongoni mwa visima vinavyoboreshwa na Mamlaka kwa kushirikiana na Bonde la Wami Ruvu ili kukabiliana na upungufu wa huduma ya maji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here