Home LOCAL DAWASA KUREJESHA HUDUMA YA VISIMA KATIKA MFUMO WA USAMBAZAJI MAJI

DAWASA KUREJESHA HUDUMA YA VISIMA KATIKA MFUMO WA USAMBAZAJI MAJI

Kazi ya kusafisha kisima cha Ilala Bungoni, Mtaa wa Mafuriko inaendelea. Lengo ni kuwezesha kisima hicho kutoa huduma katika kipindi hiki cha ukame.

Kisima kina uwezo wa kutoa lita 6000 za maji kwa saa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here