Home BUSINESS BRELA YATOA MAFUNZO YA MILIKI UBUNIFU KWA WABUNGE

BRELA YATOA MAFUNZO YA MILIKI UBUNIFU KWA WABUNGE

Wajumbe Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mazingira, Viwanda na Biashara wakifuatilia mafunzo ya Miliki Ubunifu yaliyotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) leo tarehe 3 Novemba, 2022 katika ukumbi wa mkutano uliopo ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA )Bw. Godfrey Nyaisa akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizotolewa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mazingira, Biashara na Mazingira wakati wa mafunzo ya Miliki Ubunifu yaliyotolewa na Taasisi hiyo leo tarehe 03 Novemba, 2022 katika ukumbi wa mkutano uliopo ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi wa Miliki Ubunifu kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Seka Kasera, akitoa mada kuhusu Miliki Ubunifu kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mazingira , Viwianda na Biashara leo tarehe 03 Novemba,2022 katika ukumbi wa Mkutano wa Bunge jijini Dodoma

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here