Home BUSINESS ZIARA YA MKUU WA MKOA WA GEITA KATIKA BANDA LA TUME YA...

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA GEITA KATIKA BANDA LA TUME YA MADINI NA TGC KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela leo Oktoba 02, 2022 ametembelea banda la Tume ya Madini na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili mjini Geita .

Mara baada ya kupata elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Tume ya Madini, TGC na kuona sampuli mbalimbali za madini amepongeza kazi nzuri inayofanywa na Taasisi hizo na kutaka elimu kuendelea kutolewa hususan kuhusu namna biashara inavyofanyika kwenye masoko na vituo vya ununuzi wa madini vilivyoanzishwa nchini.
 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here