Home SPORTS YANGA YAKWAMA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI AFRIKA

YANGA YAKWAMA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI AFRIKA

KIKOSI cha Yanga kimekwama kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa nguvu zao ni kwenye Kombe la Shirikisho.

Kwenye mchezo wa leo dhidi ya Al Hilal walikubali kupoteza kw bao 1-0 Yanga.
Ni bao la dakika ya 3 lilitosha kuwapa ushindi Al Hilal wakiwa nyumbani na kutinga hatua ya makundi.

Mohamed Abdrahaman alipachika bao hilo akiwa ndani ya 18 na kuipa ushindi Al Hilal.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here