Home BUSINESS WAZIRI BITEKO AIPONGEZA PSSSF KUTOA MAFAO KWA WASTAAFU KWA WAKATI

WAZIRI BITEKO AIPONGEZA PSSSF KUTOA MAFAO KWA WASTAAFU KWA WAKATI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko (kulia) akimsakiliza Meneja wa Kanda ya Ziwa Magharibi Godrey Kolongo alipotembelea katika Banda la PSSSF katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita.

Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko (kulia) akizungumza na Meneja wa Kanda ya Ziwa  Magharibi Godrey Kolongo alipotembelea katika Banda la PSSSF

Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko akipiga makofi kupongeza kazi zinazofanywa na Mfuko huo kwa kutekeleza mpango wake wa kulipa mafao kwa wakati.

Meneja wa Kanda ya Ziwa Magharibi Godrey Kolongo (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wengine wa Taasisi hiyo katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita.