Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha   Nd,Valentina Andrew Katema kuwa    Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar   katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha   Nd,Shahim  Fauzi  Mohamed  kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Bw,Mgeni Jailani Jecha baada ya kumuapisha kuwa  Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Valentina Andrew Katema  baada ya kumuapisha  kuwa Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar   katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Shahim  Fauzi  Mohamed baada ya kumuapisha  kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi pamoja  na Viongozi mbali mbali waliohuria katika hafla ya kuapishwa leo Viongozi walioteuliwa na  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni miongoni mwa Wageni mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa leo Viongozi walioteuliwa na  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha  Bw,Mgeni Jailani Jecha kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,aliyemteuwa hivi karibuni hafla hiyo imefanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Uendeshaji na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) mara alipoingia katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo katika hafla ya kuwaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria wakiwemo Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar.[Picha na Ikulu

Previous articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA FEDHA WA QATAR AMBAYE PIA NI MWENYEKITI  WA KATARA HOSPITALITY MHE. ALI BIN AHMED AL KUWAR, DOHA NCHINI QATAR 
Next articleTMDA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI YAKAMATA DAWA ZA KUSISIMUA MISURI NA KUONGEZA KUVU ZA KIUME
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here