Home SPORTS RAIS SAMIA AIPONGEZA SIMBA SC

RAIS SAMIA AIPONGEZA SIMBA SC

Na:  Mwandishi Wetu

RAIS wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa klabu baada ya kufanikisha kutinga hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika.

Raisi ametuma salamu hizo kupitia ukurasa wa Twitter akionyesha kuthamini kazi waliyofanua Simba kwa kupeperusha vema bendera ya nchi.

“Kongole Simba kwa ushindi wa bao 1-0(ushindi wa jumla 4-1)mliopata dhidi ya Premiero De Agosto ya Angola na kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika, Nawatakia Kila kheri katika michuano inayofuata” ameandika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here