Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA JENGO LA MAKUMBUSHO YA HAYATI DKT. JOHN...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA JENGO LA MAKUMBUSHO YA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, AKAGUA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA CHATO MKOANI GEITA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la Makumbusho la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here