Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN ASALIMIA WANANCHI WA RUNZEWE -GEITA, NYAKANAZI -KAGERA PAMOJA...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN ASALIMIA WANANCHI WA RUNZEWE -GEITA, NYAKANAZI -KAGERA PAMOJA NA KUZINDUA KITUO CHA KUSAFIRISHA, KUPOKEA NA KUPOZA UMEME CHA NAKANAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakivuta kitambaa kuzindua miradi sita ya umeme, ikiwemo  Njia ya kusafirisha umeme wa msongo Kv 220 kutoka Nyakanazi -Geita, Nyakanazi Rusumo, Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Nyakanazi pamoja na njia kubwa za kusafirisha umeme kwenda Mkoa wa Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022 Mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe wakati akihitimisha ziara yake Mkoani Geita tarehe 16 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua miundombinu mbalimbali ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwenda Mkoani Kigoma na Geita kwenye hafla ya uzinduzi iliyofanyika Nyakanazi mkoani Kagera 16 Oktoba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Nishati January Makamba pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua miradi sita ya umeme katika Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwenda Mkoani Kigoma na Geita kwenye hafla iliyofanyika Nyakanazi mkoani Kagera 16 Oktoba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nyakanazi mkoani Kagera wakati akielekea Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.

Previous articleWAZIRI BALOZI PINDI CHANA AKUTANA NA KAMATI YA KITAIFA YA MAANDALIZI YA ONESHO LA UTALII LA KIMATAIFA LA S!TE
Next articleBILIONI 2.2 ZAREJESHWA NA HALMASHAURI KWENYE MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA KUPITIA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here