Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIONGOZI WA TAIFA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIONGOZI WA TAIFA LA QATAR SHEIKH TAMIM BIN HAMAD AL THANI, DOHA QATAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kiongozi wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kiongozi huyo Doha nchini humo tarehe 04 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali kabla ya kuanza mazungumzo na Kiongozi wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022. Aidha, Mhe. Rais Samia pamoja na mwenyeji wake wamezungumzia masuala ya kuimarisha uhusiano na Biashara baina ya Tanzania na Qatar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Kiongozi wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, Doha nchini humo tarehe 04 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akiwa kwenye mazungumzo na Muanzilishi na Mwenyekiti wa Wakfu wa Qatar (Qatar Foundation ) Sheikha Moza binti Nasser, Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.

Previous articleWANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA NSSF KUJIUNGA, WENYEWE WASEMA HUDUMA ZA NSSF ZIMEBORESHWA
Next articlePAPA FRANCIS AMTUNUKU MTANZANIA NISHANI YA HESHIMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here