Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wakati akiwasili kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani humo tarehe 14 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivalishwa Skafu na Vijana wa Skauti mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kaitaba kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.

Vijana wa Halaiki wakitumbuiza kwa kuonesha kazi mbalimbali katika Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.

Wakimbiza Mwenge Kitaifa mwaka 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Kitaifa Sahil Geraruma katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kagera katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here