Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA SHIRIKA LA WANANWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO BARANI AFRIKA (WildDAF) JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF) kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa Tuzo baadhi ya Waanzilishi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF pamoja na vyeti kwa wadau waliofanikisha maendeleo ya Shirika hilo kwenye Maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa Shirika hilo kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022.

Wageni mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF kwenye hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022.

Bendi ya Bahati ikitumbuiza kwenye Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF katika hafla iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022.

Previous articleRAIS SAMIA ATAKA SHERIA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE
Next articleTRA GEITA YATOA ELIMU YA KODI KWA WAFANYABIASHARA NYANG’HWALE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here